dimanche 24 février 2013

Kuna tetesi zisizothibitishwa juu ya Msanii wa Tanzania TIMBULO kukamatwa Bujumbura na dawa zakulevya..."


Msanii wakizazi kipya, anae ondoka na mitindo ya bongo flava Ally TIMBULO kuna tetesi zinasema kuwa amekamatwa na dawa zakulevya Mjini Bujumbura , kwa mu ujibu wa habari tulizo zipata inasemekana ya kuwa Msanii huo ambae siku hizi anatamba sana na pini zake kadhaa za mvuto wa hali ya juu kwa vijana kati ya miaka 7 na 77 kama  DOMO LANGU, WALEO WAKESHO, SAMSON NA DELILA,BADO KIJANA... alikuwa na mpango wakui endesha tamasha Mjini Bujumbura mwezi wa 4 baada ya maombi lukuki ya washabiki wake Mjini Bujumbura/nchini Burundi . Blog yetu hii kulingana na habari hio tuliopata kwa mtu wakaribu anependa habari tunazo zichapa hapa kwa upande wa East africa na Burundi kwa ujumla kuwa,alimuona TIMBULO akikamatwa na akujuwa wapi alipelekwa. uchunguzi unaendelea kwani habari hii tumeichukulia kama tetesi isio kuwa na kisibitisho juu ya Msanii huo wa Tanzania TIMBULO kukamatwa Bujumbura...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire