lundi 11 février 2013

Bizzo Uwezo :" Niko AC Production narekebisha mambo..."


Msanii Bizzo NIMUBONA a.k.a Uwezo anae ondoka na mitindo ya hip hop alifahamisha blog yetu hii kuwa :" Nina pini mpia niko natengenezea AC production,Tarafani Mutakura. Pini hio nimeitengenezea AC Production na itaitwa 'Tega skio', na vile vile ningelipenda kujulisha washabiki wangu kuwa wako wanamaliza kunichukuwa picha ya video ya nyimbo 'Zawadi ya wasanii',video nimeitengenezewa na KING POPS,kijana ambae anahitaji pawe mabadiliko makubwa kwa upande wa Production za video nchini." Wait and see..

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire