mardi 12 novembre 2013

Dj Pro negger :" Video Sugar mamy bado inafanyiwa mautundu na Keshy Abdul."

Msanii wa kizazi kipya maarufu RAMADHAN KIZA baada yakuwasili nchini baada ya miaka kadhaa akiwa nchini Afrika yakusini , alipowasili Bujumbura halali bali anafatiliya kazi zake zinavyo kwenda . Baada yakumshirikisha Djuma Marembo a.k.a Black G kwenye bonge la pini * TOUCH ME* iliyotengenezwa na Buja Record's chini ya usimamizi  wa LISER CLASSIC itakayozinduliwa ifikapo mwishoni mwa mwezi huu ,leo hii tulimnasa kwa picha akiwa na Filmaker ABDUL KESHY ambae yuko nchini kwenye ziara fupi . Tuliwakuta wakiwa wanamaliziya maiziya video * Sugar mamy * itakayokuja kuwa kama zawadi kwa washabiki wake.

Keshy Abdul na Dj Pro wakiwa wakiwa wanafanya mautundu kwenye video ya 'Sugar mamy' alio mshirikisha Mike Malone.

Dj Pro alitwambiya :"Namkubali sana KESHY kiukweli anamautundu , naweza kusema kama High level kwa kazi anayo ifanya, acha nimaliziye hapo, video ipo bado kwenye kuonganishwa onganishwa (Mixage) itakapo malizika najuwa mtakuwa hamna kipengamizi,mkao wakusubiriya mashabiki wangu ."

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire