Kwa jina lake halisi NAHIMANA Platini akizoweleka sana kwa jina la kimziki la KING PLATA alifahamisha blog yetu hii kuwa ifikapo tarehe 16/June/2013 ataiweka hadharani album yake inayosimama kwa jina la * ND'UMUNTU NKAWE * , hii inakuja kuwa mara ya pili kuitangaza rasmi album yake hio baada ya kuwa apo mwanzo alikutana na kasheshe za umeme na baadhi ya vyuma ku unguwa na Tamasha yake kutofanyika ilikuwa ni maeneo ya ( Palais des Arts et de la Culture ). Aliongea nasi nakufahamisha wapenzi wake kuwa kwasasa mambo yote yako sawa na ifikapo tarehe hio ataitangaza album yake kwa ushirikiano tosha na Kombaini ya Wasaanii wengi wanao ondoka na miondoko ya burundi flava. PLATA alitufahamisha kuwa:" Mambo yote yako sawa na hivi , na mara hiyi nawa alikeni mniunge mkono ili tuambukizane furaha kwa pamoja ." Mpangilio mzima , soma bango hapo juu...
lundi 10 juin 2013
KING PLATA atazinduwa rasmi album yake 'Nd'umuntu nkawe' ifikapo tarehe 16/June/2013..
Kwa jina lake halisi NAHIMANA Platini akizoweleka sana kwa jina la kimziki la KING PLATA alifahamisha blog yetu hii kuwa ifikapo tarehe 16/June/2013 ataiweka hadharani album yake inayosimama kwa jina la * ND'UMUNTU NKAWE * , hii inakuja kuwa mara ya pili kuitangaza rasmi album yake hio baada ya kuwa apo mwanzo alikutana na kasheshe za umeme na baadhi ya vyuma ku unguwa na Tamasha yake kutofanyika ilikuwa ni maeneo ya ( Palais des Arts et de la Culture ). Aliongea nasi nakufahamisha wapenzi wake kuwa kwasasa mambo yote yako sawa na ifikapo tarehe hio ataitangaza album yake kwa ushirikiano tosha na Kombaini ya Wasaanii wengi wanao ondoka na miondoko ya burundi flava. PLATA alitufahamisha kuwa:" Mambo yote yako sawa na hivi , na mara hiyi nawa alikeni mniunge mkono ili tuambukizane furaha kwa pamoja ." Mpangilio mzima , soma bango hapo juu...
Inscription à :
Publier les commentaires (Atom)
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire