dimanche 21 avril 2013

UNCLE CRAZY :" Mambo mazuri hayataki haraka ."

SINARINZI CLAUDE anazoeleka sana na jina zautani kama Gisazi , Uncle Crazy . Baada ya mdaa mrefu kuto onekana sana kwenye Tv au kuskilizwa kwenye redio mbali mbali nchini Uncle Crazy alizungumza kupitia kipindi ' Home Flouver ' na Dj Raphan a.k.a Mr Home, mmoja kati yawa Best Presenter nchini kuwa hajazimika bado yuko anafanya maujanja yote ili ayafaiti maisha kwanza kwani mziki wa apa nyumbani nimizinguo , haki miliki imesainiwa ila haifanyi kazi , anasema kuwa yupo kwenye game la mziki ila ana angalia sana nje ya nchi , kama kwa mfano kisha endesha Show 9 Jijini Kinshasa . Fahamu ya kuwa mkee wake alijifunguwa  mtoto wa pili juzi juzi , wa kwanza ana miaka 5 sasa ,yuko busy sana na familia kwa mdaa huu ndio maana haonekani sana . Baada ya ukimia wake kwenye game ya mziki kwasasa yupo studio , asilimia 75 (75%) nyimbo zake ziko tayari ila  anapenda kugaili nakujikosowa kabla yakukosolewa . Ikumbukwe  ya kwamba Gisazi  amezaliwa Nyanza /Makamba na ametamba sana na mlolongo wa nyimbo kama :"(Binti wakimakamba by Uncle Crazy feat T Max & Kaka Boney , sometimes by Uncle Crazy feat Aziza , Hatufanani nao by Uncle Crazy feat R Flow , Garuka by Uncle Crazy feat Farious , Natafakari by Uncle Crazy , Tuendeleye Uncle feat Riziki ...)" . Alimalizia kwenye kipindi hicho ambacho ni cha moja kwa moja (Live) nakusema :" Nawapa pole wote waliopoteza bidhaa zao sokoni , na ningelipenda kusema kuwa  kazi zetu ni nzuri ila zinaitaji marekebisho na ndio maana mimi sinto onekana sana kwenye Tamasha mbali mbali , nilikuwa na mkataba nchini DRC , nataraji kuviweka hadharani vitu vizuri washabiki na wasiokuwa washabiki wasipati lakusema kama nilivyofanya miaka 10 ya nyuma , niko natengeneza video nzuri zenye ufundi wa hali ya juu." Habari ndio hio...


Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire