mardi 24 décembre 2013

Coach MUPENDA Mohsin afurushwa kwenye uongozi wakuifunza klabu ya Vital'o Fc...

Pichani : Mupenda Mohsin,Lutz na aliekuwa naibu wa Mohsin mu Vital'o Fc.
Habari hii imetangazwa rasmi hapo jana baada ya Mkufunzi Mupenda Mohsin kupoteza mchuano wa wiki ya kwanza ya Ligi ya taifa nchini . Nafasi yake imechukuliwa na TUHABONYE Michel ambae nayeye mwanzoni mwa mwezi huu alifurushwa kuifunza klabu ya Lydia ludic Burundi academic ambayo mwaka jana ilitinga hatuwa ya mtowano kwenye kombe la Shirikisho .
Tuhabonye Michel akiwa katikati ya wasaidizi Wake 2 akiwa kwenye LLB Academic.

Ratiba ya Wiki ya pili :

Jumaa-nne , 23 December 2013

Saa nane (14h) : Muzinga - Flambeau de l-Est / Uwanja wa Prince Louis Rwagasore
Saa nane (14h) : Atlhetico Olympique - Messager Ngozi / Uwanja wa Olympafrica
saa tisa (15h) : Espoir fc-Vital'o / Gatumba
Saa tisa (15h) : Flamengo-Prince Louis / Uwanja wa Don Bosco - Buterere
Saa tisa (15h) : Les Guepiers du Lac-Volontaires /Uwanja wa Makamba
Saa kumi (16h) : Académie Tchité-Royal FC /Uwanja  Olympafrica
Saa Kumi (16h) : LLB Académique-Inter Stars / Uwanja wa Prince Louis Rwagasore


Matokeo ya Wiki ya kwanza :

Ijumaa-mosi , 21 December 2013

Vital'o 1-2 Les Guepiers du Lac...
Volontaires FC 1- 0 Espoir FC
Flambeau de l'Est 0-0 Académie Tchité
Messager Ngozi 1-0 Flamengo
Royal FC 0-0 Inter Stars
Prince Louis 1-1 Atletico Olympique
LLB Academic 4-1 Muzinga

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire