mardi 24 décembre 2013

UWAMAHORO Florence na Cécilia waimbaji wa Gospel wapo ziarani Burundi...

Pichani : Florence na Cécilia...
Wazaliwa wa Mkoa wa Ruyigi Cécilia na Florence waimbaji wa nyimbo za injili (Gospel) wapo ziarani Burundi toka Ijumaa tarehe 20/December/2013 . Tulipokutana nawo jana sehemu walipo walitufahamisha kuwa wanayo faraja kuona wapo Burundi nchi walipozaliwa . Ifahamike ya kuwa ujiyo wao nchini ni kuja kutembeleya kwanza familiya ambayo kipindi kirefu hawaonani nao , pili kuja kutengeneza video 4 za nyimbo walizorikodiya nchini Australia wanapo ishi .

Wataketi Burundi siku 30 wakiwa wanaizunguuka Mikoa mbali mbali ya Burundi nakutowa sapoti kwa wa Mama wajane na Watoto wasiyojiweza nchini .

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire