mardi 8 octobre 2013

CHAN 2014 : Orodha ya wachezaji 29 wa burundi watakao anza mazoezi tarehe 15/10/2013.

Arthur akihojiwa na mzee Ntunga Theodore.
Orodha hiyo imeitishwa kwakujinowa nakujiandaliya mashindano ya CECAFA yaliyopangwa kuchezwa Kenya ifikapo tarehe 27 November hadi 12 December 2013 .

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire