jeudi 5 septembre 2013

T MAX ziarani DUBAI ifikapo tarehe 10/September/2013...

T Max akipokelewa nchini belgium picha hio ni ya mwaka jana ...
RICHARD'S FRANCIS NAMWATA TIMOTHEO a.k.a T MAX tulichonga nae  akawa ametufahamisha kuwa :" Ilikuwa ni safiri siku ya Jumaa-pili ila pakawepo utata kuhusikana na tiketi ya ndege ila baadae ndipo nilipata uthibitisho kutoka kwenye kampuni ya ndege kuwa ifikapo tarehe 10/September/2013 ntakuwa nimepasuwa angaa nakujielekeza DUBAI  ambapo msafara wangu umegubikwa na swala nzima lakuchukuliwa picha (shooting) ya baadhi ya nyimbo zangu ambazo nimeziachia siku za nyuma ." Huu ni ujumbe alio uandika tarehe 31 August kupitia ukurasa wake wa facebook :" Thanks to all my fans who really support me . Thanks " ARUNA " kwa support yako ya safari ya Dubai ." ARUNA anaemzungumzia ni Mrundi anakae ishi Dubai na ndie Manager mkuu wa Ikho Multiservice , chombo maalum nchini kinacho nia yakubadili mambo flani flani kwa upande wa tasnia ya utamaduni kwa Ujumla . T Max amekuwa kati ya wasanii nchini kama Steven Sogo , Farious , Sat B , Yoya , ...wanaokuwa wakisafiri nakurejea nyumbani uku wakirudi na matunda yasiyokuwa na mfano apo nikizungumzia clip video zakimataifa na mengineyo mengi . Tunamtakia safari njema...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire