dimanche 15 septembre 2013

Matokeo ya michuano kwa upande wa soka (Football): Burundi,Rwanda,Tanzania,England,Spain...

LA LIGA :
Bale Madrid: Former Tottenham winger Gareth Bale enjoys his debut goal with a trademark celebration
What's that, Gareth? Cristiano Ronaldo scores for Madrid, shortly after Bale is substituted
GARETH BALE AANZA VYEMA REAL, AFUNGA BAO KATIKA SARE YA 2-2..RONALDO KAMA KAWA :
MABAO 203 katika mechi 203 kwa Cristiano Ronaldo; moja katika mchezo mmoja kwa Gareth Bale.
Hiyo ndiyo ilikuwa mwanzo wa faida za kutoa Euro Milioni 100 kumsajili mchezaji huyo baada ya Bale kufunga bao lake la kwanza Real Madrid usiku huu katika sare ya 2-2 dhidi ya Villarreal. Bale alifunga kipindi cha kwanza na Ronaldo akafunga kipindi cha pili katika mchezo huo wa La Liga.
Kikosi cha Real Madrid kilikuwa: Diego Lopez, Carvajal, Pepe, Ramos, Nacho, Illarramendi/Khedira 60, Modric, Bale/Di Maria dk60, Isco, Ronaldo na Benzema/Morata dk72. Villareal: Asenjo, Mario, Musacchio, Dorado, Costa, Aquino, Trigueros, Bruno, Cani, Giovani, Pereira/Uche dk64.

PREMIER LEAGUE :
Big buy: Mesut Ozil made his debut for Arsenal after making a £42.5million move from Real Madrid last week
Strong start: German midfielder Mesut Ozil (right) set up Giroud as he made his debut for Arsenal
ARSENAL YAUA 3-1 MESUT OZIL AKING'ARA ILE MBAYA, MAN UNITED YAPIGA MTU 2-0, MAN CITY YAKABWA KOO :MCHEZAJI mpya ghali wa Arsenal, Mesut Ozil, ambaye amebeba mustakabali wa kocha Arsene Wenger kubaki au kuondolewa akichemsha mwishoni mwa msimu, ameanza kazi vyema akiiwezesha Gunners kushinda 3-1 ugenini dhidi ya Sunderland.
Kiungo huyo wa kimataifa wa Ujerumani aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 42 kutoka Real Madrid siku ya mwisho ya usajili, aling'ara mno Jumamosi wakati Arsenal ikipata ushindi huo mnono.
Katika mchezo huo uliochezeshwa na refa Martin Atkinson, mabao ya Arsenal yalifungwa na Giroud dakika ya 11 na Aaron Ramsey mawili, dakika za 67 na 76, wakati bao pekee la Sunderland lilifungwa na Gardner dakika ya 48.
Kikosi cha Sunderland kilikuwa: Westwood, Celustka, Diakite, Roberge, Colback; Vaughan/Gardner dk46, Ki 6, Johnson, Fletcher/Wickham dk77, Altidore na Mavrias/Borini dk72.

Arsenal: Szczesny, Jenkinson, Sagna, Koscielny, Gibbs, Flamini, Wilshere, Ozil/Vermaelen dk80, Ramsey, Walcott/Monreal dk88 na Giroud/Akpon dk90+3.

- Naye kocha Manuel Pellegrini ameshindwa kufurukuta mbele ya Stoke City baada ya kulazimishwa sare 0-0.
Stoke: Begovic, Cameron, Shawcross, Huth, Pieters, Walters, Nzonzi, Wilson, Adam/Arnautovic dk70, Etherington/Ireland dk70 na Jones/Crouch dk77.
Man City: Hart, Zabaleta, Garcia, Nastasic, Kolarov, Toure, Rodwell, Milner, Jovetic/Aguero dk63, Nasri/Navas dk73 na Negredo.

- Manchester United imeibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Cyrstal Palace na kumpa faraja wake kocha wake mpya, David Moyes katika mechi ambayo kocha wa zamani wa Mashetani hao Wekundu alikuwepo uwanjani kushuhudia.

Mabao ya United yalifungwa na Robin van Persie kwa penalti dakika ya 45 na Wayne Rooney dakika ya 81.
Kikosi cha Man United kilikuwa: De Gea, Fabio, Ferdinand, Vidic, Evra , Anderson/Fellaini dk61, Carrick, Valencia, Rooney, Young/Januzaj dk66 na Van Persie.
Crystal Palace: Speroni, Mariappa, Gabbidon, Delaney, Moxey, Dikgacoi, Jedinak, Puncheon, Gayle/Jerome dk63, Campana/Guedioura dk58, Chamakh/Kebe dk74. Hayo ni mabao mawili yaliyowekwa kimyani na Van Persi kupitia penalti na Rooney kupitia mpira wakutengwa (Coup franc)

Decisive: Robin van Persie rolled home from the spot to break the deadlock on the stroke of half-timePick that out: Wayne Rooney curled his free kick over the wall and into the net
 Kwa upande wa Burundi :
A.F.N.B / Ntahangwa , 1/2 final aller : -Ten Free Market 1-0 La Fregate
                                                           - Santos 4 - 1 Procobu

* Kwa upande wa Primus Super League : Jumaa-pili saa tisa na nusu : Atletico Olympic - Vital'o Fc.
* Siku ya Ijumaa ,tarehe 13/9/2013 : LLB 3-0 Flambeau de l'Est.

- MATOKEO LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA

Septemba 14, 2013
Simba SC 2-0 Mtibwa Sugar (Taifa, Dar es Salaam)

Coastal Union 0-0 Prisons (Mkwakwani, Tanga)

Ruvu Shootings 1-0 Mgambo JKT (Mabatini, Pwani)

JKT Oljoro 1-1 Rhino Rangers (Sh. Amri Abeid, Arusha)

Mbeya City 1-1 Yanga SC (Sokoine, Mbeya)

Kagera Sugar 1-1 Azam FC Kaitaba, Kagera)

Ashanti United 0-1 JKT Ruvu (Azam Complex, Dar es Salaam)

* Ratiba wiki ya 4 :

Septemba 18, 2013

Prisons Vs Yanga SC (Sokoine, Mbeya)

Simba SC Vs Mgambo JKT (Taifa, Dar Es Salaam)

Kagera SugarVs JKT Oljoro (Kaitaba, Kagera)

Azam FC Vs Ashanti United (Azam Complex, Dar es Salaam)

Coastal Union Vs Rhino Rangers (Mkwakwani, Tanga)

Mtibwa Sugar Vs Mbeya City (Manungu, Morogoro)

Ruvu Shootings Vs JKT Ruvu (Mabatini, Pwani)

Rwanda :
Amissi Cedric yatahanye ibihembo bibiri biherekejwe na miliyoni imwe n'ibihumbi ijanaAbega perezida wa Ferwafa ashyikiriza igihembo umukinnyi wa Rayon Sports AmissiCedric hagtai y'abo bari bahanganye
Cedric AAAMIISI ,amechukuwa taji la Mchezaji na mfungaji bora msimo uliomalizika nchini Rwanda . Amekusanya jumla ya pesa milioni 1 na laki (700.000+400.000) . Ligi ya Rwanda inatizamiwa kuanza ifikapo tarehe

* 28/9/2013
Rayon Sports vs Gicumbi Stade Amahoro
Etincelles vs Espoir Stade Umuganda
Muhanga vs Mukura Stade Muhanga
As Kigali vs Amagaju Stade ya Kigali
Musanze vs Kiyovu Stade Ubworoherane   * 29/9/2013

APR FC vs Marines Stade ya Kigali
Police vs Esperence Stade ya Kicukiro

MATOKEO | YA IJUMAA na JUMAA-MOSI.

14 September 2013
Absa Premiership
Kaizer Chiefs2 - 0Maritzburg UtdFNB Stadium
AmaZulu1 - 0Moroka SwallowsMoses Mabhida Stadium
University of Pretoria2 - 0Bloem CelticTuks Stadium
Free State Stars0 - 0Platinum StarsGoble Park
Angola Girabola
1 de Maio0 - 0Sagrada EsperancaEstadio Municipal de Benguela (Benguela)
Atletico do Namibe0 - 0Onze BravosEstadio Joaquim Morais (Namibe)
Kabuscorp1 - 11 de AugustoEstadio Municipal dos Coqueiros (Luanda)
Porcelana0 - 1ASAEstadio Santos Dinizes (N'dalatando)
Barclays Premier League
Everton1 - 0ChelseaGoodison Park
Aston Villa1 - 2NewcastleVilla Park
Fulham1 - 1West BromCraven Cottage
Tottenham2 - 0NorwichWhite Hart Lane
Hull1 - 1CardiffThe KC Stadium
Stoke0 - 0Man CityBritannia Stadium
Sunderland1 - 3ArsenalStadium of Light
Man Utd2 - 0Crystal PalaceOld Trafford
Botswana
ECCO City Greens1 - 2BDF XIFrancistown Stadium
Nico United4 - 0TaficSelebi Phikwe
Notwane3 - 1Wonder SportingSSKB Stadium
Orapa United2 - 1UF SantosItekeng Stadium
CAF Champions League Groups
AC Leopards (Congo)1 - 0Orlando PiratesDolisie
CAF Confederations Cup Groups
Etoile Sahel (Tunisia)1 - 1CS Sfaxien (Tunisia)
TP Mazembe (DRC)4 - 2ES Setif (Algeria)
French Ligue 1
Montpellier0 - 0ReimsLa Mosson
AC Ajaccio2 - 3Evian TGFrancois-Coty
Guingamp1 - 1BastiaDu Roudourou
Nantes1 - 0SochauxLa Beaujoire
Valenciennes1 - 3St EtienneStade Nungesser
Toulouse1 - 1MarseilleStadium Municipal
German Bundesliga
Borussia Dortmund6 - 2HamburgSignal Iduna Park
Bayern Munich2 - 0Hannover 96Allianz Arena
Mainz0 - 1Schalke 04Coface Arena
Augsburg2 - 1SC FreiburgImpuls Arena
Werder Bremen0 - 3Eintracht FrankfurtWeserstadion
Bayer Leverkusen3 - 1WolfsburgBayArena
Italy Serie A
Napoli2 - 0AtalantaSan Paolo
Torino2 - 2AC MilanStadio Olimpico
Inter Milan1 - 1JuventusStadio Giuseppe Meazza
National First Division
Roses United1 - 2United FCKaizer Sebothelo Stadium
Chippa United2 - 0FC Cape TownPhillipi Stadium
Milano United AFC2 - 0Jomo CosmosGrassy Park Stadium
Maluti FET College0 - 1Baroka FCCharles Mopeli Stadium
Thanda Royal Zulu FC0 - 1SantosUmhlathuze Sports Complex
Portuguese Liga
FC Porto2 - 0Gil VicenteEstadio do Dragao
Benfica3 - 1Pacos FerreiraEstadio da Luz
Rio Ave0 - 1GuimaraesEstadio do Rio Ave
Spanish Primera Liga
Villarreal2 - 2Real MadridEl Madrigal
Barcelona3 - 2SevillaCamp Nou
Levante0 - 0Real SociedadCiutat de Valencia
Atletico Madrid4 - 2AlmeriaVicente Calderon
Tanzania Vodacom Premier League
Ashanti United0 - 1Ruvu ShootingsAzam Complex, Dar Es Salaam
Coastal Union0 - 0Tanzania PrisonsMkwakwani, Tanga
Kagera Sugar1 - 1Azam FCKaitaba, Kagera
Mbeya City1 - 1Young AfricansSokoine, Mbeya
Ruvu Shootings1 - 0Mgambo JKTMabatini, Pwani
Simba SC2 - 0Mtibwa SugarNational Stadium, Dar es Salaam
JKT Oljoro1 - 1Rhino RangersSh. Amri Abeid, Arusha
Tusker Premier League
Thika United2 - 3SofapakaThika
AFC Leopards1 - 3Chemelil SugarMumias
Western Stima4 - 2Muhoroni YouthBukhungu
Zimbabwe 2013
Chicken Inn2 - 1Black RhinosLuveve Stadium
Shabanie Mine1 - 1Motor Action FCMaglas Stadium
Tripple B1 - 1Hwange CollieryDulibadzimu Stadium, Beitbridge

13 September 2013
Absa Premiership

Bidvest Wits (timu ya Papy faty) 
1 - 0Ajax Cape TownBidvest Stadium
Botswana
Township Rollers0 - 1Extension GunnersNational Stadium, Gaborone
French Ligue 1
Bordeaux0 - 2PSGChaban-Delmas
German Bundesliga
Hertha Berlin0 - 1VfB StuttgartOlympiastadion
National First Division
Black Leopards1 - 2African WarriorsSeshego Stadium
Tusker Premier League
City Stars2 - 0KCBNyayo
Mathare United0 - 0Sony SugarNyayo

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire