mercredi 18 septembre 2013

Bongo News : MADEE atangaza kuhamiya kwenye nyumba yake ifikapo tarehe 23/4/2014;siku ya birthday yake....

Nyumba ya Madee
Msanii wa bongo maarufu kama Madee yapata miaka 4 yupo anatengeneza nyumba sehemu pajulikanapo kama Mbezi ; msanii  huyo alipo ulizwa siku yakuhamiya kwenye nyumba yake hiyo iliomgharimu takribani milioni 125 alisema kuwa anapangilia kuhamiya emo ifikapo tarehe  yakukumbuka siku yakuzaliwa (Birthday) ; itakuwa tarehe 23/4/2013 . 

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire