mercredi 4 septembre 2013

Kesho kwenye ukumbi wa GET UP patachimbika , ufunguzi rasmi wa Djs Entertainement in Buja....

Wa Dj's wa Burundi wanao burundisha raia kwenye Club ao sehemu zingine tofauti wali ikaa chini nakutasmini kwa pamoja kuanzisha shirika lao linaowakusanya wa Dj's wote nchini Burundi ila haswa haswa wakianzia kwa wale wanao patikana Bujumbura , Mji mkuu wa Burundi . Sawa na shaba hio yaku ungana wakawa wamefkiria kujaribu kuziba pengu kwa hali tofauti inayokuwa ikijitokeza kwenye tamasha mbali mbali wanapokuwa wakilalamika washabiki kuhisikana na utendaji kazi wao mbovu . Hivo basi shirika hilo linakuja kuyaleta mabadiliko flani kwenye tasnia hio ya muziki . Alitwambia kiongozi wa shirika hilo DJ MAGOS :" Tumeamuwa kuanzisha shirika hili ili pawepo mabadiliko , tuna mipangilio mingi tutakayo ifanya siku za usoni ila tulipenda kufahamisha wapenzi wa mziki na wapenzi wetu kwa ujumla kuwa ifikapo tarehe 5/September kwenye ukumbi wa GET UP Nighty club tunawa andalia bonge la tamasha la mashindishano yawa Dj's watakao shindikizwa na wasanii kama AFRICANO, MKOMBOZ, MAC DIZZO na KEBBY BOY .Ki ingilio ni pesa 5000frsbu kinyume na 2000frs kama ilivyoandikwa kwenye bango hilo. Mengi zaidi soma kwenye bango hilo...

1 commentaire:

 1. habari zenu ndugu zangu leo nina masikitiko makubwa yaku ku tambulisheni kua kwasiku ya leo tarehe 5/8/2013 kuto kuwepo kiburudisho ambacho mlo kua mna tarajia ku pitia kwenye club ya GET-UP kwaku sisi ma DJ's tuna kuwa hatu saminishwi kama wa sani wengine yani mapatano yetu tume kua tume kubaliana boss wa get-up yali kuja kubadilika saa 18h00 yani massaa ma 4 kabla show kuanza so tu jiulize je angelikua ni msani kutoka nje ao ni dj kutoka kenya ao nchi yeyoye ile wamesha kubaliana kitu pana pita mwezi je angeli mgeuka dakika yamwisho?

  apo jibu unalo,

  kwanini tusamanishe wasani wainje kuliko waapa kwetu?
  kwanini tusamanishe ma dj wainje kuliko waketu?
  na chamwisho kinacho sikitisha nikua dj ndo ana piga mbwate, bar, napia stejini yeye ndo ana mpigia msaani alafu uyo uyo dj hasaminishwi kama msani kipidi bila dj mziki wa msani huto pigwa hata kwenye redio niuleule dj tu so tupende mziki wetu na tuheshimu kazi yamtu apo tuta fika imeandikwa na DJ JAP kutoka D.I.B

  RépondreSupprimer