jeudi 1 août 2013

OMMY DIMPOZ:" Siku ya Laid Bujumbura patachimbika."

Mmoja kati ya wasanii wenye ujuzi na wenye wapo kwenye chati ya juu nchini Tanzania atakuwa Bujumbura kwenye bonge la T1.amasha ifikapo siku ya Laid kwenye ukumbi wazamani wa Bethel Center , mahali kwasasa pakijulikana kama "New guinguette" ,msanii huo kupitia  video alio iyagiza anaweka wazi kuwa hapana shaka kwa nguvu za Mungu siku ya laidi takuwa ametimba Buja kuja kuambukizana furaha kwa nia moja yakudumisha amani,upenda na maridhiano kati ya nchi mbili. Ifahamike ya kuwa atashindikizwa na Wasanii vigogo wa hapa nchini kama MKOMBOZ(mshindi wa Isanganiro Awards 2013) ,Business man (Mkali wa show ambae ana ahidi kukamuwa vyakutosha wapenzi wa mziki na ususani wapenzi wa buja flava),Rally Joe ( Mshindi wa Primusic 2012) . Hawakutengwa vile vile Wasanii kama Kebby,Elvis Shaggy,Mc daddy,Bengo Star kutokea South africa, Inarunyonga na D-Tizo. Mpangilio kamili soma kwenye bango hilo...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire