jeudi 8 août 2013

Primus League : Vital'o Fc 3-2 Inter Star ( Matokeo na ratiba ya michuano inayosalia )

Jana Jumaa-tano tarehe 7/August/2013 kwenye uwanja wa Mwanamfalme Louis Rwagasore palikuwepo mchuano wa kivumbi na jasho ulio zipambanisha timu mbili vigogo ( Vital'o Fc na Inter Star ) Ulikuwa ni mchuano wa kiporo wa wiki ya 17 . Mchuano ulikuwa ni wakuvuta ni kuvute ,kipindi cha kwanza timu zote mbili zikwenda sare ya bao 2 kwa 2 .(John Girukwishaka na kaya Nkurikiye kwa upande wa Vital'o na bao la kwanza la penalti,la pili likafungwa na Aime Nzohabonayo ) Kipindi cha pili kilikuja kumalizika kama pamebaki dakika 1 mchuano umalizike Deo Ndayishimiye akaifungia bao muhimu sana timu yake kwakuonganisha mpira alio upewa na Kaya .
Matumaini ni yote kwa upande wa Vital'o baada yakujichukulia alama 3 za jana ,nani atakae chukuwa taji la msimo huu zikiwa zimesalia wiki 3.Ifahamike ya kuwa Mkufunzi Yaoundé Gilbert Kanyenkore ifikapo jumaa-pili baada ya mchuano zidi ya Atletico atapita anajielekeza nchini Rwanda kuinowa timu ya KIYOVU SPORTS, vile vile Kaze Gilbert ambae usiku waleo tarehe 8/August anazifunga pingu za maisha anatizamiwa kusafiri msiku za usoni kujiunga na SIMBA SC ya Tanzania akiwa pamoja na nahodha Tambwe Amissi . Ratiba ya michuano inakayo salia tizama hapo chini :

Msimamo wa League :

Equipe
GDPts
1FLAMBEAU1939
2VITAL’O2438
3ATHLETICO2137
4LLB1537
5ROYAL228
6MESSAGER427
7INTER425
8TCHITE-825
9MUZINGA-718
10FLAMENGO-1813
11PRINCE LOUIS-2413
12ESPOIR-325
Wiki ya 19 03-08-2013ESPOIR0 : 1TCHITE
 03-08-2013ATHLETICO1 : 1MESSAGER
 03-08-2013FLAMBEAU4 : 0ROYAL
 04-08-2013INTER- : -MUZINGA
 04-08-2013PRINCE LOUIS1 : 3VITAL’O
 05-08-2013FLAMENGO0 : 2LLB

Wiki ya 17 07-08-2013INTER2 : 3VITAL’O

Wiki ya 1810-08-2013FLAMBEAU- : -INTER
 10-08-2013MESSAGER- : -LLB
 11-08-2013VITAL’O- : -ATHLETICO

Wiki ya 2017-08-2013MUZINGA- : -PRINCE LOUIS
 17-08-2013MESSAGER- : -FLAMBEAU
 17-08-2013ROYAL- : -ATHLETICO
 17-08-2013FLAMENGO- : -ESPOIR
 18-08-2013LLB- : -INTER
 18-08-2013VITAL’O- : -TCHITE

Wiki ya 2130-08-2013INTER- : -FLAMENGO
 31-08-2013VITAL’O- : -MESSAGER
 31-08-2013ESPOIR- : -LLB
 31-08-2013TCHITE- : -FLAMBEAU
 01-09-2013PRINCE LOUIS- : -ROYAL
 01-09-2013MUZINGA- : -ATHLETICO

Wiki ya 2207-09-2013TCHITE- : -MESSAGER
 07-09-2013ROYAL- : -LLB
 07-09-2013ESPOIR- : -PRINCE LOUIS
 07-09-2013VITAL’O- : -FLAMBEAU
 07-09-2013FLAMENGO- : -MUZINGA
 08-09-2013ATHLETICO- : -INTER

1 commentaire:

  1. Merci cher Amidou Hassan pour ces efforts que tu deploient afin de nous informer sur les resultats des differents matches du championat Primus League. Courage.
    Elvis KAZUNGU.

    RépondreSupprimer