mercredi 7 août 2013

It's Official: Demunga amejiunga na SIMBA SC ...

CECAFA KAGAME CUP 2010/ Vital'o Fc vs APR
 Beki wakimataifa Mrundi KAZE Gilbert  maarufu DEMUNGA siku ya Ijumma iliopita ndipo alisaini mkataba wa miaka miwili na klabu ya Simba Sc ya Mjini Dar Es Salaam . Majarida tofauti tofauti nchini Tanzania yamechapa habari ya usajili wa beki huo Mrundi ambae anasakata gozi na ujuzi wa hali ya juu .

Duru kutoka kwa mchezaji mwenyewe tulipo hojiana nae aliporejea Burundi  alituhamisha kuwa :" Ni faraja kwangu , iyi imekuwa timu ya pili ambayo ntajiunga nayo kimataifa baada ya Polisi ya Rwanda , nina imani ntaitumia fursa nzuri kwakamilisha ndoto yangu yakuwa Professional player ."
Police Fc ya Rwanda.

Tunamtakia kila la kheri...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire