lundi 10 juin 2013

Primus League: Matokeo ya Wiki ya 15( Vital'o 1-1 Muzinga,LLB 0-0 Flambeau,Inter Star 2-1 Royal...)
Wiki hii ligi ya taifa maarufu Primus League iliendelea ikiwa zimesalia wiki 6 igonge ukuta. Matokeo yalikuwa ifwatavyo :


Wiki ya 167-06-2013INTER STAR1 : 2ROYAL FC
08-06-2013LLB0 : 0FLAMBEAU DE L'EST
08-06-2013MESSAGER NGOZI3 : 0PRINCE LOUIS
01-06-2013ATLHETICO OLYMPIC40ESPOIR MUTIMBUZI
01-06-2013FLAMENGO FC3 : 0ACADEMIE TCHITE
09-06-2013VITAL'O FC11MUZINGA

Lakufahamu ni kuwa wiki hii kombe la shirikisho ndilo litakalo endelea kwenye ngazi yake ya 8 (1/8 final). Hadi mdaa huu Vital'o Fc ina mchezo umoja wakiporo na kwa muda  Flambeau de l"est inaongoza.

MSIMAMO WA MUDA , WIKI YA 16.
-------------------------------------------

1. Flambeau de l'Est 33 points
2. Vital'o Fc 32 points -1match

-----------------------------------------
10. Prince Louis 10 points
11. Flamengo 10 points
12. Espoir 5 points.

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire