mardi 25 juin 2013

USA : Comando Arnold Schwarzeneger Is Back Na Terminator 5.

Tukinukulu tovuti ya sammisago.com , Filamu ya Terminator itakuwa na mwendelezo wa Sehemu ya tano mwakani, kwa mujibu wa mwigizaji mkongwe wa filamu hizo Arnold Schwarzeneger amethibitisha kurejea kwenye filamu hio na kuanza kufanyiwa kazi Januari mwaka 2014 na atapokea Script ya filamu hiyo mwezi ujao. Arnold ameshawahi kuwa Governor wa California na ana miaka 65 sasa. Kwa sasa Arnold anafanya ziara nchi tofauti za ulaya huku akiongea na vijana kuhusu njia tofauti za kufanikiwa kimaisha na kujiendeleza.

Schwarzenegger amesema studio zinataka afanye filamu Zingine atakazoigiza kama Conan the Barbarian Kwenye King Conan na Julius Benedict kwenye Twins iliyoitwa Triplets.

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire