mardi 26 mars 2013

Brarudi:"Karibuni tukumbuke pamoja waliokosa mali zao kwenye soko kuu ya Bujumbura siku ya Pasaka tarehe 31/March ku Efi/Nyakabiga.Kampuni ya vinywaji nchini Burundi maarufu 'Brarudi' kupitia kinywaji chake 'primus' inakuleteyeni bonge la Tamasha ifikapo tarehe 31/March/2013 siku ya Pasaka kwenye ukumbi mkubwa wa EFI Nyakabiga ambapo watakusanyika waimbaji wengi kuja ku utowa mchango wao ambao ni muhimu sana kwa jamii hii ya Burundi . kampuni hio kwa ushirikiano tosha na Waimbaji hao wanaomba raia waudhurie kwa wingi ili wa ambukizane furaha kwa pamoja . Ratiba na mpangilio,wasanii watakao hudhuria soma kwa hio bango apo juu...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire