samedi 9 mars 2013

Canada : -MICHOU Comedien alishinda tunzo la Lafflines Comedy Club...

MICHOU KABAYABAYA alias Michou Le Comedien jana Jijini Vancouver / Canada alijishindia tunzo la Mchekeshaji bora (Meilleur Comedien) alipokuwa akishindana na Wachekeshaji 16 wa pande zile ,alitufahamisha kwa lugha ya kirundi "Bite bite umbwirire abarundi uti Michou le comédien yaraye akoze ibintu vyiza Muri concours ya ba comédien iba Vancouver bayita Lafflines Comedy Club twari aba comédien 16 , nije nari umu black gusa hama twavuga 5min " ,akimaanisha " Habari habari nilipenda uwajulishe Warundi kuwa Michou Mchekeshaji amelala amefanya vitu vizuri sana kwenye mashindano ya Wachekeshaji toka Jijini Vancouver linalo julikana kama Lafflines Comedy Club tulikuwa 16 ,na mimi pekee yangu ndie nilikuwa mwenye rangi nyeusi ,tulikuwa tunasema dakika 5".

Fahamu ya kuwa MICHOU yupo Canada toka miezi mitatu sasa , alisafiri baada ya mashindano ya Primusic na tunamkumbuka sana kwa utaalamu wakurejeleya kwakuiga sauti za baadhi ya Waraisi wa Burundi kama ( Mh Pierre Buyoya na Mh Nkurunziza Pierre) na vingine vichekesho tofauti tofauti . Hongera sana MICHOU...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire