vendredi 9 août 2013

Kidum:"Buja Summer Fest itafanyika siku ya Jumaa-pili..."(alifahamisha kwenye Press conference ya leo asubuhi.)

Pichani ; Memba, Kidum , Muwakilishi wa Bancobu na Yoya .

Asubuhi ya leo mwanamuziki Jean Pierre NIMBONA KIDUM alias Kibido ,Kibuganizo,Gipine aliendesha mkutano na waandishi wa habari kwenye EGO hotel,mkutano huo nia na madhumuni ilikuwa kutangaza bayana kuwa mipangilio ya Festival hio iko sawa na mnamo siku mbili yaani Jumaa-pili tarehe 11/August/2013 kwenye ukumbi wa shule la sekondari la Nyakabiga maarufu Lycée Scheppers itaendeka sawa,na mipangilio imefkia ukingoni kwani hapo kesho bonge la jukwa ( Podium) itafungwa mahali pale . Ali ichukuwa fursa nyeti yakuzungumzia waandishi waliokuwepo hapo kuwa :" kama siku ya Tamasha ya Alikibaa nilitangaza kama sintorudi kuendesha tamasha yeyote nchini ilikuwa nikutokana nakutokuwepo vyombo muhimu vinavyo itajika ili burudani iwe sawa,kwani haiwezekani mtu atowe pesa zake ili aje kuburudika kisha baadae afike kwenye ukumbi hasiskiyi mziki anavyotaka , kwa maana hiyo naichukuwa fursa hiyi kuwatangazieni kuwa kama nimeamuwa kuanzisha mpango huo wa Buja Summer Fest ni kwasababu naitaji mabadiliko kwani siku ya Jumaa-pili jukwaa itakayotumiwa nikutoka nchini Rwanda,ndio iliotumiwa kwenye fainali ya Guma Guma nchini pale ni bonge la jukwaa inayo jizatiti vitu vyote muhimu nikizungumzi (Sonorisation,instruments au complet,light...) kwa hio kama sio hivyo singeliweza kuwepo."

Aliongeza nakusema kuwa :" Mwaka huu ni kama kupima,tuna imani mwaka kesho kufanya mambo makubwa zaidi , alichukuwa na fasi yakushkuru walio towa mssada kwa kufaanikisha kwa mpangilio huo hususanama BANCOBU , BRARUDI , EGO HOTEL na wengineo,aliomba miaka yakuja wajitokeze kwa wingi ili Burundi hali hiyo ya maandalizi ya Festival wakati walikizo iwe inafanyika kila mwaka, nakukumbusha kuwa wasanii ambao wamo kwenye Primusic watasafirishwa moja kwa moja na usafiri wa maandalizi yao kwani wako tayari na makubaliano nao ." Ikumbukwe ya kuwa tamasha hio imepangwa siku ya Jumaa-pili kuanzia saa saba mchana hadi saa nne usiku (13h a 22h) na ki ingilio kimepangwa kwa pesa 5000frsbu na 10.000frsbu. Karibuni...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire