jeudi 28 février 2013

T Max: Watu wa ngozi this sunday Kundi lizima la " wanajeshi kamili" watawatembelea. Get readyy!!!!

"Watu wa ngozi this sunday Kundi lizima la " wanajeshi kamili" watawatembelea. Get readyy!!!! ",huu ni ujumbe tosha Msanii RICHARD'S TIMOTHEO FRANCIS NAMWATA a.k.a T Max alio andika kupitia ukurasa wake wa kijamii wa facebook leo hii. Blog yetu kama kawaida yake kutangaza kitu na ushahidi tosha,tuli ingilia kiundani habari hii tukagunduwa ni kweli,Kundi nzima hilo watakuwa wamejielekeza pande zile kukamuwa raia kijeshi jeshi . Tuliongea na ambae alianda tamasha hio hakupenda tuliandike jina lake na akawa amehakikisha habari hii kuwa niya kweli,alitwambia :" Jumaa-pili tarehe 3/March/2013 sehemu pajulikanapo kama LAMODA (Night Club) ndipo patafanyika Show hio,atakuwepo Big Farious na T Max , naomba watu wafahamu ilo na watuitike kwa wingi ili tuwasapoti Wasanii wa kwetu kwenye Show hio." Watu wa Ngozi na pembezuni mjiandae...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire