lundi 25 février 2013

Kigali : Wasanii walio alikwa kwenye FESPAD nchini Rwanda...Duru kutoka Jijini Kigali/ nchini Rwanda kuhusiana na FESPAD,maonyesho ya muziki yanayo jiri mwaka kwa mwaka,na mwaka huu yakiwa yameingia kwenye mara yake ya nane ni kuwa maonyesho hayo jana yalianzishwa rasmi kwenye uwanja wa AMAHORO ila kutokana na mvua kali ilionyesha ilibidi wa hamishie kwenye uwanja mdogo pembeni ya uwanja Amahoro. Orodha ya Wasanii watakao konga nyoyo za wapenzi wa mziki tayari imedondoshwa,Wasanii hao ni pamoja na :


Benie Man
Ice Prince
Keko(Uganda)
Camp Mulla(Kenya)
Kidum (Kutokea burundi ila anaishi Kenya).
Mighty Popo (Canada)
King James
Riderman
Makanyaga
Dr Claude
Holly Jah Doves
Gaby
Azaph Ministries
Bruce Melody
Rick Password
Babou

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire