jeudi 31 janvier 2013

Black arthur: "Akaga Videos sasa tumekamilika".


Mmoja kati ya wa Editor wa baadhi ya Videos za Wasanii wa hapa nchini NDAYIZIGIYE Arthur a.k.a Black Arthur ameongeya na safu yetu hii yakujuzana habari zihusuzo tasnia ya muziki na utamaduni kwa ujumla,akawa ametujulisha kuwa :" Akaga videos kwasasa imekuwa Kampuni kamili na sio tena yangu binafsi kama ilivyokuwa inajulikana apo awali,tumeamuwa kuipanuwa hadi kuwa na kamati itakayokuwa inajihusisha na mpangilio mzima wakutangaza nakufwatilia kwa kina kampuni." Kamati hio imepangwa ifwatavyo

-NDUWAYEZU Jean-Pierre (Realisateur)


-Arsene BUCUTI ( Communication)


-Evelyne ( Secretaire)


- Faradja (Mambo ya ufundi)

-Aletta ( Marketing)

Pako wengine ambao wanashirikiana apo ni kama: John,Sadjati na Patrick.
Hakuishia hapo,aliendelea nakutujulisha kuwa:" Ninafanya takriban mwezi mzima sifanyi kazi kutokana na vitu vyangu ku unguwa pakiwemo vile vile vyombo nilivyokuwa natumia,ila mwezi wa 2 naona sintopata mdaa wakupumuwa kwani itakuwa kazi kwenda mbele. Niko na videos 23 mbazo nalazimika kuzitengeneza za Waimbaji tofauti tofauti wa hapa nchini na zingine kama 3 nchini Rwanda." Kwa muhtasari,baadhi ya Videos hizo ni pamoja na:

*BURUNDI


-Kuri kakanyoni by Franck Gen80 feat Yoya
-Urudubi by Mkomboz feat Yoya-Si umwe si babiri by Yoya
-Pi! pi! pi! by Peter Niyo
-Umoja by Various artists (Imelipiwa na Fundi mitambo waku Radio Salama anaejulikana kwa jina la Dj Ibra)
-Ukuri by Silas Damara feat Mc Original
-Tunaweza by The Cousins...

*RWANDA

-Mugisagara rmx by Silas Damara feat Dr Claude & Mc Original
-Dr Claude (Kuna nyimbo yake ntamchukuwa picha)
-Nowless 
-Urban boys (hao wote nitawatengezea videos za nyimbo zao)

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire