mercredi 13 février 2013

Big Fizzo & Happy Famba ( Business man ) :" Uvira mjiandae..."Ifikapo leo jioni  saa tisa ndipo Wasanii wawili toka nchini Burundi watajielekeza  Jamuhuri ya kidemocrasia ya Congo (DRC) kwenye bonge la Show lililo andaliwa kwa niaba yao ili waburudishe na wakonge nyoyo za wapendanao wa pande zile kuhusiana na sikuu kuu ya Wapendanao (Valentin day) . Alitwambia Business man :" Tumepanga saa tisa jioni twende nchini DRC,kwa kweli tumejianda vyakutosha kwa makumuzi ya sio kuwa na mfano,inabidi tuwaonyeshe kuwa muziki Burundi upo na wenye ladha yakipekee. Hivo basi nawaomba mashabiki waje kwa wingi watusapoti ili tuambukizane furaha pamoja." Mpangilio kamili soma kwenye bango hio...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire