mercredi 13 février 2013

Kidum :" Mjiunge nami kesho saa 2 usiku ku Ego Hotel kwenye sherehe ya Valentin day..."
Jean Pierre NIMBONA KIDUM,Mwanamuziki Mrundi wakimataifa anae ishi nchini Kenya yupo tayari kwa Tamasha ilio andaliwa kwa niaba ya Wapendano ( Valentin day ) ifikapo kesho saa mbili usiku kwenye EGO HOTEL,moja kati ya Hotel zinazo fanya mapokezi mazuri na uduma isiokuwa na mfano. Mwanamuziki huo alipokuwa Mjini Nairobi alitufahamisha tulipokuwa tunafanya  nae mazungumzo kuwa hadi jana(Jumaa-ine) atakuwa tayari ametuwa Mjini Bujumbura . Kwa ripoti tulio ipata yasemekana kuwa ameingia na ndege aina ya Kenya Airways ya leo saa saba usiku (1h).Blog yenu inaendelea na uchunguzi wa kina,ripoti kamili kwenye habari  zetu za baadae...Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire