mercredi 6 février 2013

Belgique: -Warundi wanakao ishi Ubelgigi watasheherekea siku ya Diaspora ya warundi ifikapo tarehe 9/February/2013 Mjini Bruxelles...


Burundi tarehe 9/2/2013 itawakilishwa na Wanamuziki 3 pakiwemo HAKESHIMANA Jeremie,Kwizera Didier a.k.a 50D,a.k.a Lil Mafia na Andy Cool kwenye bonge la Tamasha linakalo julikana kama siku kuu ya 'Diaspora' ya Burundi mjini bruxelles nchini Ubelgigi. Mpangilio kamili soma bango hilo apo chini....Msikosi kufika...
Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire