dimanche 20 janvier 2013

Question G:" Video yetu 'Aramara' iko tayari..."


Pichani:Alby,West,Fizzo na Josdy (picha hii imechukuliwa na kampuni ya Ikoh multiservice).

Kwa wapenzi wa kuzisoma habari moto moto kupitia blog yetu hii tunawaomba radhi kwa siku kama 10 tulikuwa hatuko hewani sababu tosha ikiwa Kundi nzima la Question g linlo undwa na vijana wa Tarafa ya Bwiza wameifahamisha blog yetu hii kuwa wako tayari kwapani na video yao mpia inayosimama na jina la "Aramara",pini nzito na safi kwa upande wawapendanao.Aliongea na safu yetu hii SIBOMANA Josdy Prince Yossi nakutuwekea wazi kuwa:"Tumetowa video mpia inaitwa 'Aramara',video hio iko tayari tumeitolea kwa ANDYLLAIRE Films Technology,video tulitengenezewa na Kisu Records chini ya Ufundi wa A-Tizo technology na Sulex Touch." Ifahamike ya kuwa nyimbo hio wali imba wanakundi 3 (Sibomana Josdy Prince Yossi,Hakizimana Alby na Irakoze Terry West)." Lakufahamu ni kuwa kinyuma na hao watatu kundi hilo limesimama na Wanamuziki 6,nawao ikiwa ni pamoja na: B Mike,Perap's,Josdy,Lil Soso,Alby,West.Wengine huwa hawaonekani sana kutokana na kazi zao binafsi...


Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire