lundi 23 septembre 2013

Big Fizzo :" Nimefika salama Ufaransa..."

MUGANI DESIRE alifahamisha BB (burundi beat) kupitiya ujumbe mfupi kupitiya ukurasa wakijamii wa facebook kuwa amewasili salama salimina nchini Ufaransa,Mjini Toulouse , alituandikiya:" Namshkuru Manani nimefika salama na familiya ipo sawa , kwakuonana ni majala..."
Photo : Smilin is infectious,
u can catch it like the flu.
Someone smiled at me that day,
And I started smilin too.....
Farious

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire