mardi 3 septembre 2013

Bongo music News: wapi idea ya nyimbo "My Number one" yaweza kuwa imetokea ?
Kwa upande wawashabiki wanao fwatilia kwa karibu mambo ya mziki wanatoa mtazamo wao kuhusikana wapi pini hii ilipotokea : Fwatilia link hizo utaelewa zaidi :http://www.youtube.com/watch?v=ztOotMU0yjU
(Kapiripiri kandi - JK Ft. Salma and Cactus)
Hapo ndipo ilipo toka Intro

http://www.youtube.com/watch?v=lY2H2ZP56K4
(P-Square - Beautiful Onyinye ft. Rick Ross)
Hapo ndipo ilipotoka ideal yakutumiya Boat, kutumiya background ya Tab...le-Montaigne, Kutumiya White bath-rob (nguo nyeupe za bafuni)

http://www.youtube.com/watch?v=ttdU19Kwce8
(P-Square - Personally )
Hapo ndipo ideal ya mavazi ya Diamond na bahazi dances na mavazi ya wanawake tofauti rangi tu tazama vizuri.
na ideal ya ku shoot kwenye white background

Fata kwamakini uta ipata video hiyi hapailipotoka
http://www.youtube.com/watch?v=64riif8FfNI
(Diamond Platnumz - Number One )

Alaf audio kaitowa hapa we fwata vizuri alaf utowe maoni yako

www.youtube.com/watch?v=hRl2B5ncfOc
(One Time - Rich Mavoko New Tanzanian music 2013 Bongo Flava Song )
Sikiliza hiyi nyimbo walio tumiya kwenye hiyi intro alaf uta iskiya My Number One Ilipotoka.

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire