Msanii anae ondoka na mitindo yakipekee ITEKA Florian a.k.a 19th ameongea na safu yetu hii na kuweka bayana kuwa atuwa aliokuwa ametangaza yakuheba mpango mzima wa muziki yaani kuacha kuimba ameitupilia mbali . Alitwambia : "Hapo awali nilikuwa nimetangaza kuwa nitaacha rasmi muziki mwezi December mwaka uliopita ila kutokana na wengi kunilaamu,nikuzungumzia wazazi wangu na washabiki kwa ujumla niliona vyema nikomaze kipaji changu nilichopewa na Mungu. Kwa muda huu niko Studio najikwamuwa vyakutosha leo hii nyimbo yangu mpia inayosimama na jina 'EGO NIWE',baada ya hio ntaterezesha zingine 2 mpia kupitia www.reverbnation.com nazo zitatambulika kama '2013' na 'Igaruka' inayo ashiriya kurudi kwake kwenye fani ya muziki na ndio itasimama na jina ya mixtape yake mpia ya nyimbo zake mpia.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire