Muheshimiwa Raisi Wa Burundi Pierre NKURUNZIZA. |
Mh Raisi akila pozi na mpira kichwani... |
Pichani : Saleh akiwa na Captain PAUL. |
Pichani : Dibwe , Mala Ibrahim na Willy. |
Pichani : Elengesa na Abudi... |
Kinyume na hao pako wengine kama Mh Col. Manaleks , SITA , Afande AMADI, ALEXIS , HASSAN BIGIRIMANA , RAMADHAN, EDDY , ALEXIS, FELICIEN , ARCADE , RICHARD'S , DIOMEDE , ERIC KIDAMAGI , MUHAMAD , MTAMA , WAINA KAPA , MWARABU , MAULIDI , SALEH , EDDY , BULENGE , WILLY , KABEZA , ALLY KING KONG (Kipa) , AMIDOU HASSAN (Mchezaji mwenye umri mdogo) CHADRACK na wengineo... Kwa muda huu Timu ya Halleluya inapewa mafunzo na Djuma MSOMA aliekuwa Kiongozi wa Union Sporting kipindi Mh Raisi alikuwa Mkufunzi wa Union Sporting.
Pichani : Willy , Chadrack , Aimee Nzohabonayo na Waina. |
Kinacho leta faraja ni kuwa toka mwaka 2004 Raisi wa Burundi akiwa na wachezaji hao anawaweka kwenye ngazi moja na pamoja wanafanya vizuri kwenye jumla ya michuano yote wanayocheza kwenye sehemu mbali mbali nchini .
Pichani : Mnyonge , Indele , Mwarabu , Eric Kidamagi,Malick Jabir , Dibwe... |
Fahamu ya kuwa :
. Kati ya michuano 28 iliyochezwa , ilifunga bao 116 . ( 28 matchs = 116 buts ) .
. Mfungaji bora : - Mh Raisi PETER NKURUNZIZA : 39
- Captain Paul : 37
- Eddy : 14
- Alexis : 13
- Mnyonge : 7
- Simba : 6
. Mchezaji bora baada ya uchunguzi wa kina aliteuliwa Mh Raisi wa Burundi Peter NKURUNZIZA .
Désiré Hatungimana akimsalimu Mh Raisi (Moja kati ya match iliyosisimuwa sana mwaka 2013) |
NGOZI :
. LYCÉE GWABIRIRO 3 - 10 HALLELUYA FC ( Mh Raisi goli 5 , Mala Ibrahim 1 , Aimée Nzohabonayo 2 , Saleh 1 na Captain Paul 1)
. (Fonctionnaires de Mwumba ) WATUMISHI WA MWUMBA 1 -5 HALLELUYA FC (Chadrack 1 , Captain Paul 3 na Saleh 1 )
GITEGA :
. LYCÉE GISHUBI 1 - 3 HALLELUYA FC ( Mala Ibrahim1 , Simba1 na Saleh 1)
. KOMINE GIHETA 2 - 4 HALLELUYA FC ( Mh Raisi 2 ,Captain Paul 2)
KARUZI :
.YOUNG STAR 1 - HALLELUYA FC3 (Alexis 2 , Captain Paul 1)
. KOMINE TANGARA 1 -5 HALLELUYA FC (Alexis 2 , Eddy 1 na Captain Paul 2 )
. KOMINE MWUMBA 1 - 4 HALLELUYA FC ( Mh Raisi 2 na Captain Paul 2)
RUTANA :
. KOMINE BUKEMBA 2 - 7 HALLELUYA FC ( Eddy 3 , Alexis 1 , Captain Paul 1 na Mh Raisi 2 )
. INTSINZI FC 0 - 5 HALLELUYA ( Mnyonge 1 , Alexis 1 , Captain Paul1 na Mh Raisi 2 )
KIRUNDO :
. KOMINE KIRUNDO 2 - 3 HALLELUYA FC ( Mh Raisi 1 , Alexis 1 na Captain Paul 1 )
. FC LEOPARD 2 - 4 HALLELUYA ( Captain Paul 3 na SIMBA 1 )
. ABAWIGEZE FC 1 - 2 HALLELUYA 2 ( Mh Raisi 2)
* GITEGA :
. KOMINE GISHUBI 3 - 4 HALLELUYA FC (Mh Raisi 2 na Captain Paul 2 )
. KOMINE KIBIMBA 3 - 4 HALLELUYA FC ( Mh Raisi 2 , Captain Paul 1 na Alexis 1)
RUYIGI :
. KOMINE KINYINYA 1 - 7 HALLELUYA FC ( Jamal 1 , Eddy 1 , Captain Paul 1 na Mh Raisi 4)
. KOMINE NYABITSINDA 1 - 6 HALLELUYA FC ( Mh Raisi 3 , Captain Paul 1 , Mnyonge 1 na Alexis 1 )
MAKAMBA :
. ISAMBWE 0 - 6 HALLELUYA Fc (Chadrack 1, Mnyonge 2 na Mh Raisi 3)
. NYABIGINA 0 - 1 HALLELUYA FC ( Captain Paul 1 )
CANKUZO :
. KOMINE MISHIHA 2 - 4 HALLELUYA ( Mh Raisi 2 , Captain Paul 2 )
* NGOZI
. KOMINE TANGARA 1 - 4 HALLELUYA FC ( Captain Paul 2 na Eddy 2 )
. KOMINE KIBIMBA 1 - 4 HALLELUYA ( Rama 1 , Eddy 1 , Captain Paul 1 na Mala Ibrahim 1 )
KAYANZA :
. KOMINE GAHOMBO 2 - 5 HALLELUYA FC ( Mh Raisi 1 , Eddy 3 na Mnyonge 1 )
. KOMINE KABARORE 1 - 2 HALLELUYA FC ( Mh Raisi 1 na Eddy 1)
** NGOZI :
. KOMINE MWUMBA 1 - 5 HALLELUYA FC ( Captain Paul 1 , Mh Raisi 2 , Alexis 1 na Eddy 1 )
MURAMVYA :
. KOMINE BUKEYE 3 - 7 HALLELUYA ( Eddy 1 , Alexis 1 , Mh Raisi 1 , Simba 1 ,Mnyonge 1 na Captain Paul 2)
. KOMINE KIGANDA 0 - 4 HALLELUYA FC (Mh Raisi 1 , Willy 1 , Simba 1 na Captain Paul 1 )
. KOMINE MURAMVYA 1 - 4 HALLELUYA FC ( Mh Raisi 1 , Alexis 1 , Simba 1 na Captain Paul 1 )
MWARO :
. KOMINE NYABIHANGA 2 - 3 HALLELUYA FC ( Mh Raisi 1 na Captain Paul 2 )
. LYCÉE MWARO 1 - 3 HALLELUYA (Mh Raisi 2 na Captain Paul 1 )
. JAGUAR FC 1 - 6 HALLELUYA FC ( Mh Raisi 2 , Alexis 2 , Mnyonge 1 na Ramadhan 1 )
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire