
Msanii DADY FACE mzaliwa wa Tarafa ya Kamenge ambae kwasasa anaishi New York/ Marekani apo juzi alipatwa na ajali yabarabarani akiwa kwenye gari lake anarejeya nyumbani . BB inamtakiya afuani...
Hizi apa ni baadhi ya picha za ajali hiyo :





Hii ni gari aliyokuwa anatumiya ,apo ni baada ya ajali :

Hebu mcheki kabla ya ajali:

Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire