lundi 21 octobre 2013

FFB :Matokeo ya uchaguzi kwa upande wa Shirikisho ki Mikoa .(Orodha ya watu 15).

Mwanamama Lydia akisoma neno la ufunguzi,akiwa pembeni ya J.C Vuganeza na Bwana Mossi.
Siku ya Jumaa-mosi tarehe 19/October/2013 kwenye HOTEL ROYAL PALACE ndipo Shirikisho  la mpira nchini FFB lilianda uchaguzi wa Viongozi wa shirikisho mbali mbali nchini kwenye Mikoa tofauti . Matokeo yalikuwa ifwatavyo :

1. Bubanza: Uwizeyimana Vianney alipata 4/6

2. Buja-Mairie: Nahimana Issa-Nene: 35/66

3. Cibitoke: Niyonsaba Jean-Paul: 9/16

4. Gitega: Maniraho Joseph 11/13

5. Kanyosha : Hon. Gahungu Juvenal na Nduwayo Eddywalikwenda sawa na alama  3 kila mmoja.

6. Karusi : Ndayisenga Serges : 4/7

7. Kayanza : Mpitarusuma Barnabé na Ndayiziga Aboutwahi walikwenda sawa kwa alama  5 kila mmoja.

8. Kirundo : Karikurubu Charles : 6/11

9. Muramvya : Kasimu Iddi : 7/8

10. Mutimbuzi : Gakari Jumapili : 4/6

11. Muyinga : Bigirimana Nestor : 6/6

12. Ngozi: Nizigiyimana Youssuf na  Nzeyimana Faustin walitoka sawa na alama 4.

13. Nyanza-Lac : Mpawenayo Leonidas : 4/7

14. Rumonge : Nduwimana Madjid avec 5/2

15. Ruyigi: Nyamwema Pontien: 9/12
Kamati teule ya ukaguzi wa uchaguzi ikiongozwa na Mpfubusa Bernard wakizungumza utaratibu wa uchaguzi.


Kwasababu palikuwepo Shirikisho zilizojumuisha alama sambamba , ilibidi pafanyike duru ya pili ili kumtafuta mshindi , yalitokeya kati ya shirikisho za  Kanyosha, Kayanza na Ngozi .  Matokeo ya duru ya pili yalikuwa ni haya yafwatayo :
Watu wengi waliudhuriya,wakiwemo vile vile baadhi ya watangazaji wa michezo.


-Kanyosha : Hon. Gahungu Juvenal na  Nduwayo Eddy walitoka sambamba ya alama 3 kwa 3 .

-Kayanza : Mpitarusuma Barnabé alipata  5 chini ya  9

-Ngozi : Nzeyimana Faustin  5 / 7

Duru ya pili ilishindikana kutambulika mshindi kwenye shirikisho la Kanyosha , ni duru ya tatu ndiyo ilimtangaza Eddy Nduwayo  mshindi baada yakumshinda 4kwa  2  Juvénal Gahungu.

Ifahamike ya kuwa uchaguzi wa kiongozi wa FFB itakuwa tarehe 17/November/2013.

Baadhi ya picha :

Shukran za dhati kwa Thierry Niyungeko kwa mlolongo wa picha alizotupa.

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire