vendredi 18 octobre 2013

Australia : Website ya msanii wa Gospel Florence NGARAMA iko tayari...

Florence NGARAMA
Msanii wa mitindo ya Gospel Mrundi anakae ishi pande za Brisbane nchini Australia NGARAMA Florence ipo tayari . Mwanadada huyo tulipo mu uliza kwanini aliamuwa kuwa na web site yake binafsi alitwambiya :"Kwangu ni faraja kubwa kuona niko na chombo maalumu chakutangaza kazi zangu kwa ujumla." Aliongeza nakusema :" Website yangu * .www.florencengarama.com* kuna kila kitu kinacho nihusu mimi kama kio cha jamii na ningelishauri wengine wafanye hivyo kwani msanii anaejidayi kuwa anatumika akiweka mbele professionalism yaani anaetumika kimataifa zaidi lazima awe na chombo chake binafsi kinachomtangaza ." Fahamu ya kuwa kwenye website hiyo utakuta kila kitu kinacho muhusu nikimaanisha nyimbo zake za audios na videos,biography,hotnews na picha.Alimaliziya nakusema :"  Kwa muda huu niko najipanga kurudi nyumbani kuja kutembeleya ndugu,jamaa na marafiki."


Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire