mardi 17 septembre 2013

World News :Nyota 8 wanaolipwa pesa chafu duniani...Mishahara na historia ya malipo makubwa duniani.

MSHAHARA mpya wa Cristiano Ronaldo wa Pauni 288,000 kwa wiki baada ya makato ya kodi ni rekodi. Kutoka Sportsmail BIN ZUBEIRY inakuletea historia ya mishahara mikubwa ya wachezaji ambavyo imekuwa ikipanda miaka na miaka .
Tunaumiza vichwa vyetu pia Cristiano: Ronaldo sasa anaondoka na kitita cha Pauni 288,000 kwa wiki.

Wakati Johnny Haynes anakuwa mchezaji wa kwanza kulipwa Pauni 100 kwa wiki mwaka 1961 watu walichanganyikiwa na kiwango hicho cha mshahara.
pata picha watauchukuliaje mshahara mpya wa Cristiano Ronaldo wa Pauni 288,000 baada ya kodi.
Wakati huo wachezaji ghali zaidi alikuwa analipwa Pauni 20 kwa wiki England hadi Januari 18, mwaka 1961.
Jimmy Hill, Fulham, 1953: Pauni 20 kwa wiki
Jimmy Hill, Fulham
Johnny Haynes, Fulham, 1961: Pauni 100 kwa wiki
Johnny Haynes (left)
George Best, Man United, 1968: Pauni 1,000 kwa wiki
George Best
Falcao, Roma, 1980: Pauni 10,000 kwa wiki
Falcao
Roberto Baggio, Juventus, 1990: Pauni 50,000 kwa wiki
Roberto Baggio
Sol Campbell, Arsenal, 2001: Pauni 100,000 kwa wiki
You could pay someone to do that for you: Sol Campbell
Carlos Tevez, Man City, 2009: Pauni 200,000 kwa wikiThat should fund a few days out at the golf: Carlos Tevez
Wayne Rooney, Man Utd, 2010: Pauni 250,000 kwa wiki
Thanks for the money: Wayne Rooney
Cristiano Ronaldo, Real Madrid, 2013: Pauni
288,000 kwa wiki (baada ya makato ya kodi)
Rich Ronaldo

NYOTA NANE WANAOLIPWA 'PESA CHAFU' DUNIANI...



1 Ronaldo (Real Madrid) Pauni Milioni 15 kwa mwaka
2 Lionel Messi (Barcelona) Pauni Milioni 13.41 kwa mwaka
3 Neymar (Barcelona) Pauni Milioni 12.57 kwa mwaka
4 Zlatan Ibrahimovic (PSG) Pauni Milioni 12.16 kwa mwaka
5 Radamel Falcao (Monaco) Pauni Milioni 11.74 kwa mwaka
6 Wayne Rooney (Man Utd) Pauni Milioni 11.57 kwa mwaka
7 Sergio Aguero (Man City) Pauni Milioni 11.31 kwa mwaka
8 Yaya Toure (Man City) Pauni Milioni 10.90 kwa mwaka

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire