dimanche 1 septembre 2013

USA : Ni Cheni Ya Dhahabu Yenye Uzito Wa Kilo 5, Inauzwa Zaidi Ya Shilingi Milioni 600 Za Kibongo, Unamjua Staa Anayeimiliki, Fahamu HapaKama unamfuatilia Jay Z kwa makini na wewe ni shabiki wake, Basi definitely utakuwa ume-note bonge moja la chain ambalo mkali huyu amekuwa akilitupia katika events mbalimbali, hata ndani ya video mpya ya Holy Grail.Chain hii imetengenezwa na ma-dealer wakubwa kabisa wa vito vya thamani ambao wanajulikana kama Rafaello & Co na nin dhahabu yenye uzito wa kilogram 5, so ukimwona mchizi ameitupia ujue amebeba mzigo wa maana.Gharama ya chain hii kwa makadirio ni dola laki 4 ambayo ni zaidi ya shilingi milioni 645 za kitanzania na ni kijisehemu tu cha madini ambayo anamiliki Jay Z.

Thats all about jay-Z's Yellow Gold Cuban Link Chain

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire