lundi 2 septembre 2013

PRIMUSIC 2013 : SAMANTHA,CHRISTIAN,EL PEDRO,GABY,MATABARO na OLGA LORIE ndio watapambana fainali ifikapo tarehe 14/9/2013...

Photo : Demi-finale #Primusic : Aba ni bo baririmvyi bahejeje kuronka amahirwe yo gushika muri finale : Samantha NZ , Mujimbere Gabriel ,El #Pedro , Olga Lorie  , #Christian na Patient Matabaro !

Jana Jumaa-pili tarehe 1/September/2013 kwenye uwanja wa mpira Jijini Gitega ndipo palifanyika mashindano ya Primusic 2013 ngazi ya nusu fainali ambapo kati ya wasanii 12 nafasi 6 ndizo zilizokuwa zinahitajika kwa wale ambao watapambana ngazi ya mwisho ikiwa niya fainali . Wasanii kama Aletta ,Bitariho , Georges ,Alain Michel ,Gateka Landry na Mugisha Jean Junior hawakupata bahati yakuendelea baada ya kuwa kamati ya uchakachuaji iliokuwa na kazi ngumu sana hapo jana yakuwatangaza washindi 6 hao wa mwisho kulinganisha na kipaji walicho onyesha wasanii hao . Hali halisi ya mashindano hayo yalifanyika kwenye hali yakimvua mvua iliyokuwa imetanda katika mji huo , mvua ilipiga mdaa baada ya msanii Christian akiwa kwenye jukwaa, alilazimika kurudi kuimba kwa mara nyingine , baada ya hapo ndipo mashindano yaliendelea kama ilivyokuwa kwenye mpangilio . Guest artist Big Fizzo na Wabalozi SAT B na RALLY JOE kwa ushirikiano tosha na kundi la Black snakes & Top Dance raia waliohudhuria uwanjani walifurahi vyakutosha hadi kudai tamasha hiyo iendeleye hadi kuchee... Fainali imepangwa kufanyika ifikapo tarehe 14/September/2013 ila kabla ya hio kuna nyingine tamasha inayo andaliwa kwa niaba ya hao ambao wameingia fainali kuonyesha ao  kuwapa fursa nyeti yakutizama wapi walipofikia kwa level yao ili kuingia kwenye fainali wakiwa na uzowefu wa hali ya juu...Baada yakujishindia nafasi yakuingia kwenye fainali haya ni maneno walio yaandika kwenye ukurasa wao wakijamii wa facebook :

-OLGA LORIE: "Waaaaaaaooooouuuuh!!!!!!!!!!!!! ndaryohew gose kubona nshitse muri final so ndashimiy umwe wese yoba yanshigikiye mu kuntora nomukumpa impanuro nyinshi so ntakindi nobabwira atari merci merci merci encore merci kandi mubandanye muntora muri benshi.........."

-SAMANTHA MICHELLE :"Eh ouiii..je suis en finale!!!!!!!!!! C'est grace a votre soutien, a vos encouragements que j'y suis arrive...mais avant tout, c'est par la grace de Dieu....je suis si heureuse ce soir...je suis presque au bout et je ne vous decevrai pas...bonne soiree a vous et bonne semaine...
Avec Amour,
Sam."


-GABBY IGWE :" Hello hello!!!
Merci, merci à tous ceux qui ont voté! Je suis viens de passer en final de primusic!!!!!
Je compte encore sur vous pour la final, les votes sont de nouveau ouverts!
Encore une fois : merci!!!!!!!!!!"


Hizi ni baadhi ya picha : 
Photo
Photo
Photo
Photo
DSC05278
Sat b akimpongeza Jean Junior alipokuwa anarejelea nyimbo yake 'Reka mbege '
 

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire