mardi 3 septembre 2013

Uganda : Kutokana Na Kuwa Na Mpunga Wa 'Kumwaga', Tazama Kitu Ambacho Jose Chameleone Amekifanya Katika Simu Yake Ya Mkononi


Kutokana na kufikia ngazi ambayo accounts zake zimeshiba mapesa ya kumtosha, Msanii Jose Chameleone ameendelea kufanya matumizi yale ya kujifurahisha na kufurahia mafanikio yake, ambapo safari hii ameamua kuchukua hatua ya ziada kwa kutengeneza simu yake aina ya iphone 5 katika muundo 'spesheli' kwaajili yake.Hatua hii inafuatia zile nyingine za kuyapatia magari yake yote ya kifahari Plates za namba ambazo zimeandikwa jina lake [Mayanja, Doctor, Chameleone] ambapo sasa imefuatia simu wakati tukiendelea kusibiri ni nini kingine msanii huyu atabadilisha kutokana na kuwa na mpunga wa 'kumwaga!!'.

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire