mardi 23 avril 2013

Dar Es salaam : Lady Jay Dee anatarajia kuachia hivi karibuni Albam yake ya sita aliyoipa jina la ''Nothing but Truth''

Mwanamuziki: Lady Jay Dee anatarajia kuachia hivi karibuni Albam yake ya sita aliyoipa jina la ''Nothing but Truth'' na miongoni mwa nyimbo zitakazopatikana kwenye Albam hiyo ni  *Joto Hasira, Yahaya, Njiwa, Nimekusamehe, Historia & Tell Him *.

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire