mardi 10 septembre 2013

Bongo News : Jibu La Je Jokate Na Lucciano Ni Wapenzi Liko Hapa Kutoka Kwa Jokate.


Baada ya kutoka kwa kazi mpya ya Lucci na Jokate' Kaka Na Dada' Pamekuwa na maneno mengi mtaani kuwa wanamahusiano ya zaidi ya urafiki na kikazi. Well ukitazama video yao ni rahisi kuwa na fikra hizo ila ile ni kazi tu na video ni kuigiza tu. Sio kila tendo tunaloliona kwenye video ni kweli.
Leo kupitia Instagram yake Jokate amesema yote, Yako Hapa


Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire