dimanche 22 septembre 2013

MKOMBOZ : "Clip video ya kweli ya nyimbo yangu na ALI KIBA itatoka siku ya Jumaa-ine..."

Photo

Nilitaka kufahamisha washabiki wangu kuwa  clip video ya nyimbo *east african girl* niliofanya kolabo na Alikiba haijamalizika kwani Producer Arhtur anadai kwamba hajui ile link aje tena ubandike maaana haina jina mkomboz ft allykiba , haina studio ya audio na ilikuwa haijaisha kusafishwa , iyo video na alykiba haijatoka hiyo ni fake ya ukweli itatoka mardi. hayo ndiyo maneno aliyotwambiya kisha akamaliziya :" naomba mitandao yakijamii hasa hasa kwenye youtube na ingineyo waifute kwani niya fake sana." kauli hiyo ni kama ya Big fizzo ambae aliomba video ya nyimbo *Ndakumisinze-* waitowe kwenye mitandao hiyo kwani alikuwa hajatowa ruhsa iwezwe kutambazwa kwenye mitandao yak ijamii kwani yeye binafsi hakufurahishwa nayo. Alizungumza kuwa picha zile anazitambuwa tukosowe kidogo habari iliochapishwa na mtandao flani bali picha zile zitatumiwa kwenye video nyingine itakayorekebishwa na Guerra Man. Habari ndiyo hiyo...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire