vendredi 30 août 2013

Primus League : Flamengo 1 - 1 Inter star , Succes amefungiwa miaka 2 na shirikisho la Soka nchini ...

Kiongozi wa klabu ya daraja la kwanza nchini Burundi KAMWENUBUSA Jean Pierre maarufu SUCCES amepewa adhabu ya kufungiwa miaka 2 bila kujiusisha na swali nzima la mpira kutokana na shutma zilizo muegamia kuhusu rushwa . Inasemekana kuwa alitumia wachezaji wa klabu ya Prince Louis kwakuwapa mlungula ;kisibitisho kilicho onyeshwa ikiwa ni rikodi iliofikishwa mbele ya kamati tendaji ya FFb . Leo hii ndio waraka huo umetolewa wakumpa adhabu hio: Ifahamike ya kuwa vile vile klabu hio leo ilikuwa na pambano kali sana zidi yao na Inter star , mchuano wa kuwania nafasi yakusalia kwenye LIGI kuu wakiwa wanafkuzanana Prince Louis.  

Matokeo ; kalenda ya wiki hii  na msimamo :

TIMU
J G N P GD Pts
1 FLAMBEAU 20 13 6 1 23 45
2 ATHLETICO 20 13 4 3 24 43
3 VITAL’O 20 13 2 5 26 41
4 LLB 20 12 5 3 18 41
5 ROYAL 20 7 7 6 0 28
6 MESSAGER 20 7 6 7 -1 27
7 INTER 20 7 5 8 0 27
8 TCHITE 20 7 4 9 -11 25
9 MUZINGA 19 7 3 9 -1 24
10 PRINCE LOUIS 19 5 1 13 -19 16
11 FLAMENGO 20 4 1 15 -20 14
12 ESPOIR 20 1 2 17 -39 5
  
Week-end hii imepangwa michuano ifwatayo :

 Wiki ya 21  30-08-2013 INTER STAR 1     1  : 1 FLAMENGO
  31-08-2013 VITAL’O - : - MESSAGER
  31-08-2013 ESPOIR - : - LLB
  31-08-2013 TCHITE - : - FLAMBEAU
  01-09-2013 PRINCE LOUIS - : - ROYAL
  01-09-2013 MUZINGA - : - ATHLETICO

  Wiki ya 20 04-09-2013 MUZINGA - : - PRINCE LOUIS

  Wiki ya 22  07-09-2013 TCHITE - : - MESSAGER
  07-09-2013 ESPOIR - : - PRINCE LOUIS
  07-09-2013 ROYAL - : - LLB
  07-09-2013 FLAMENGO - : - MUZINGA
  07-09-2013 VITAL’O - : - FLAMBEAU
   08-09-2013 ATHLETICO - : - INTER
  Tarehe 27-08-2013
INTER   2: 4 MUZINGA
 Tarehe  23-08-2013
MUZINGA 4 : 0 ESPOIR
  Tarehe 18-08-2013
LLB 2 : 2 INTER
VITAL’O 3 : 0 TCHITE
 Tarehe  17-08-2013
FLAMENGO 4 : 1 ESPOIR

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire