lundi 8 juillet 2013

Nani atakae shinda tunzo la "INANGA AWARDS 2012 ? " ...


Amani ya Mungu iwe juu yenu wapendwa wa blog hii ,nyinyi ambao mnaopenda maendeleo ya tasnia ya muziki,utamaduni kwa ujumla tunayo furaha kubwa yakukufahamisheni kuwa mashindano tulio yaanzisha tarehe 6/January/2013 atuwa ya kwanza kwa uchaguzi kupitia tovuti ya www.burundi-beat.blogspot.com yamefkia ukingoni,na kwasasa kinacho fwata nikipengele cha pili ambacho kitawapa fursa nyinyi washabiki kuzitowa kura zenu kwa wale  mnao wapenda ao mnao hisi kuwa walifanya vyema mwaka 2012 hadi tarehe ya mwishokabla yakuzitowa tunzo  

Nia na mazumuni ya mashindano haya ni baada ya kuwa wadau wa mziki nchini walitukabizi tunzo tofauti tofauti kwa juhudi na kazi nzuri tulio zifanya kwa niaba yakutowa mchango kwa kusapoti tasnia yenyewe nchini natukaona ni vyema tuendeleye kutowa mchango wetu kwakuanzisha blog ambayo itakuwa inaweka kinaga ubaga yale yote mazuri na yasio endeka vizuri kwashaba yakukuza nakuendeleza tasnia yetu nchini ili ata wenye wako nje ya nchi wawe wanafahamu yanayo jiri kwao .
Best Journalist of the year/ Akeza Awards 2012
(AH & Kidum) 1st Best Journalist Radio Presenter/10 in 1 Birashoboka.
(AH & Nova) Big Talents - Cousins Awards 2012

 Shaba nyingine ina ambatana nasheherehe yakuadimisha  miaka 6 (Anniversaire de 6 ans) tukiwa tunafanya kazi hii kupitia vibuyu vya anga vya Radio Station .  Tumechukuwa  jukumu yakuyaanzisha mashindano ambayo ndani yake patapatikana washindi kwa kila category na atakae bahatika kuwa na kura nyingi moja kwa moja kupewa tunzo ambayo ni moja kati ya ala (instruments) ya utamaduni inayo tumiwa nchini (Inanga) .Kwa wale wapenzi waliofwatilia kwa karibu , uchaguzi kupitia tovuti yetu ulianza rasmi tarehe 6/January/2013 (tarehe yakuanzishwa rasmi blog yenyewe) ,na leo hii tarehe 6/July/2013 yamegonga ukuta nakuitowa  fursa kwa walio chagulia kwa wingi kuweza kuingia kwenye atuwa ya pili ambayo ina anza tarehe ya leo hadi tarehe 6/9/2013 saa tano na dakika 59.(23h59’).Kwakukuwa tunzichapa habari za michezo husussani (football)na kuwa wapo wale wanaozidi kuitangaza nchi ya Burundi kwakuweka mbele utamaduni,jopo nzima yamaandalizi imeamuwa kuongeza category 3 (Musique traditonnelle , Best Football player/Burundi na mu Diaspora).
Fahamu vizuri :
* Kuanzia tarehe 6/July/2013 - 6/August/2013 ,uchaguzi kupitia :                                                          www.burundi-beat.blogspot.com.
*Tarehe 6/August/2013 – 6/September/2013: Uchaguzi kupitia SMS MEDIA (Ujumbe mfupi kupitia sim zakiganjani).
- Alama(points) zitakazo patikana kwenye miezi  miwili zitajumuishwa naza SMS MEDIA ili tupate Mshindi wa kwanza kwa kila Category. Tarehe ya Sherehe ni 7/September/2013 , sehemu (Place) yakuzipana tunzo tutaiwafahamisha baadae…
 - Wote wanaoshindana na waliotoka kutokuwa na alama nyingi ndio waliotamba sana kwenye vipindi vya promotion tulivyokuwa tunaviendesha kwenye radio , na hao wengine kinyume na waimbaji walichaguliwa baada ya kamati ya maandalizi ya tunzo hizi kukutana nakuwachaguwa wale ambao waliofanya vizuri sana kuliko wengine (Les Meilleurs )kwenye category tofauti wakiwa wamegawanyika kwenye makundi ya 17  .



·         Wanaogombea na fasi ya kwanza ni :

1/ Best  female artist of the year

1.Natasha
2. Miss Erica
3. Samantha Nzeyimana
4.  Channy Queen 
5. Olga Lorie

2/ Revelation of the year

1.Samandari
2. Tatty Star
3. Kiki Toure
4. Master Land/Ngozi
5. Sal G

3/  Best artist of the year

1. Big Fizzo/ France
2. Chris D/ South africa
3.  Rally Joe
4.  Kidum /Kenya
5. Mkomboz

4/ Best  Male artist / style hip hop

1. Idriss Maniragaba
2.  Fabilove
3.  19th
4. Franck Mwanajeshi
5. Small Dogg

5/   Best artist /Style Rnb

1. R Flow
2. Pas Lee
3. Jay Fire
4.  Black G
5.  Franck G80

6/ Best group of the year

1. Question G
2. Peace & Love
3. Lion Story
4. The Cousins
5. Indimu

7/ Best artist of the year/Gospel

1. Fabrice Nininahazwe
2. Prince Mshindi
3.  Jiji Seven
4.  Bigirimana Forltand
5. Adora Uwimana

8/ Best artist / Diaspora

1. Baino /Kenya
2. Andy Cool /Belgium
3. Dj Philip /Usa
4. 50 D/Belgium
5. Ss Mwalim/ South Africa

9/ Best Editor of the year

1. Guera Man
2. Black Arthur
3. Willy Sirabahenda
4. Pacifique Nzitonda ”Paci”
5. Kent P

10/ Best Producer of the year/Audio

1. Amir pro/M.A prod. +Next level Rec.
2. Botchum Pro /Ikho multiservice
3. Liser classic/Buja Records
4. Yves Kolly/G-G prod.
5. A Tizo technology/ Kisu rec.

11/ Best Jounalist of the year
1. Dj Raphan/Radio  & Tv salama
2. Dj Ashanti/Rema FM
3. Franck Espoir/Renaissance FM
4.  Davy Carmel /Bonesha FM
5.  Christian Nsavye/Radio Isanganiro

12/ Best Journalist Reporter of the year

1. Landry Mugisha/Akeza.net
2.Abou The Carther/Ikho Mult.
3. King Yann Cool/ Glm
4. Deo Kivumbi/ Isangi.com
5.Thierry Niyungeko/ffb.bi

13/ Best Radio promoter of the year

1. Radio Salama : 92.3Mhz-104.4Mhz
2. Radio Culture : 88.2Mhz-99.9Mhz
3. CCIB FM+ : 99.4Mhz
4. BONESHA FM : 96.8 Mhz-87.7Mhz-102.4Mhz
5. RPA : 93.7Mhz-107.1Mhz

14/ Best Artist /  tradionnel music
1. Shazzy Cool
2. Emelance Emy Niwizere
3. Steven Sogo
4.  Alfred& Bernard

15/ Best Football-player/Burundi
1. Tambwe Amissi/Vital’o
2. Habarugira Christophe alias  Lucio/LLB
3. Issa Hakizimana aliasVidic/LLB
4. Kaze Gilbert alias Demunga/Vital’o
5. Yvan Rugumandiye/Goolkeeper – Muzinga.

16/ Best Football-player/Diaspora

1.  Yameen Selemani/Soudan
2. Papy Faty / South africa
3. Ntibazonkiza Saidi / Pologne
4. Amissi Cedric / Rwanda
5. Abdul-Razzak Fiston /Congo-Rwanda.

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire