mercredi 24 avril 2013

The Mafia Entertainment presents : DIAMOND in Burundi...(Official post)

Hii ndio official bango ya Tamasha ya Diamond nchini Burundi . Kwa mujibu wa habari tulizozipata toka kwa walio anda tamasha hii walituwekea wazi kuwa walipendelea kujumulisha Wasanii tofauti tofauti wa mitindo ya burundi flava ili kuleta changamoto nakuonyesha ushirikiano wao ambao wanao Msanii kutoka nje anapoka kanyaga nchini Burundi ni katika ile hali yakuonyesha uzalendo,kudumisha amani na maridhiano kwao na kwa wale wanakao kuja kudhuru ardhi yao . Mpangilio mzima soma kwenye bango hilo...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire