samedi 23 mars 2013

Dar Es Salaam : " Good news kwa mashabiki wa muigizaji Ray..."

Muigizaji wa tasnia ya filamu nchini tanzania VICENT KIGOSI maarufu sana wanamtambua kwa jna la 'RAY' amewatowa hofu mashabiki wake kuwa filamu * SISTER MARY * haikufungiwa japo kuna baadhi ya sehemu wameambiwa wazifanyie marekebisho na baadae itakuja kutoka. Ray amekuwa akilalamikiwa wa hakiki wa kazi za wasanii kutowatendea haki pale wanapowapelekea kazi ambazo ziwagusi wahakiki nakushindwa kuzitendea maamuzi aliokuwa sahihi .


"Kuna udhaifu mkubwa katika kuhakiki kazi ya mwisho ya msanii kwa kuwa wanaohakiki mara nyingi hawapendi filamu inayowagusa nakuwakosoa ," amesema Ray.

* Sister Mary* ilidaiwa kuwa inalidhalilisha kanisa katoliki na hivyo mapadre kutaka ipigwe marufuku .

Source: Bongo5

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire