mercredi 27 mars 2013

Website ya Shirikisho la mpira ya Burundi ( FFB )iko jikoniToka mwaka 1948 ilipozaliwa Shirikisho la mpira nchini , na mwaka 1972 ku ungana na Shirikisho zakimataifa kama FIFA na CAF , burundi ilikuwa haina website official inayoweka hadharani habari kamili za FFB . Baada yamalalamiko ya waandishi wa habari , washabiki , wadau wa mpira kuona Shirikisho la mpira la Burundi (FFB) kutokuwa na Website yake binafsi kama kwa mfano nchi zingine uki itaji kujuwa mengi kuhusu ratiba , mipangilio , habari kemu kemu unajiunga na website zao kwa habari kamili kama kwa mfano  ferwafa.com kwa habari za Rwanda ...Wahusika walikaa chini nakufkiria maombi ya watu wengi walioko nje na ndani ya nchi kwakuiweka hadharani website hio msikuu chache za mbele . website hio hadi mdaa huu iko bado inarekebishwa ili ije kuanza na kasi ya juu baada ya miaka nenda rudi kutowajuza watu wanao soma ao kutizama habari kupitia mitandao . . . Msiku chache za mbele itatumiwa na anuani ifwatayo : www.ffb.bi


NB:  Picha hio ndio inakayotumiwa kwakuitambulisha , ila naona wamesahau pakuandika FEDERATION DU FOOTBALL (du) BURUNDI,wamesahau wakaandika FEDERATION DU FOOTBALL (de) BURUNDI mdaa bado upo wakurekebisha kwani bado ingali jikoni inapikwa.

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire