jeudi 14 mars 2013

Belgium: -Pini mpia *Let me be the one* ya Jay Fernando na Chadia Brown Jumaa-pili itakuwa hewani...

JAY FERNANDO a.k.a The Legendary kwa ushirikiano tosha na Msanii wa kike kutokea nchini Norway mwenye sauti nyororo anae tambulika kwa jina la  Chadia Brown wata achia pini yao mpia ifikapo Jumaa-pili hii tarehe 17/March/2013 . Msanii huo nikutokea Burundi,ila kwa muda huu anaishi nchini Belgium na wengi wanamtambuwa sana kwa style zake za kipekee kwagisi anavyo flow akiwa mbele ya mic , Jay ni mdogo wake na W.Dogg mmoja kati ya wasanii waanzilishi wa kundi la NIGGER SOUL nchini Burundi , Jay ni baadhi ya wasanii waliopenda kufwata nyayo zake nakueshimisha mitindo na style za vivazi alivyokuwa akinyuka enzi hizo kabla ajaaga dunia . Alitwambia kupitia ukarasa wakijamii wa facebook kuwa nyimbo hio iliotengenezwa nawa producers wawili anao waishimu sana nchini pale kati yao pakiwa muimbaji Kaddy Jay alieshirikishwa kwenye wimbo *Dingue de toi* pamoja na Jeezy & General Fizzo, na mungine ni mzungu ambae anajijengea sifa zakutosha kwa utaalamu wake mzuri wakuzipika kwakutumia utaalamu wakutosha nyimbo anazo tengeneza . Aliomba washabiki wake kwa ujumla wakae mkao wa kula na wasubiri  ujio wa pini *Let me be the one* nyimbo ambayo mwenyewe binafsi anaimani ya kuwa itamsongesha mbali zaidi kimziki . Kumbuka mpendwa msomaji kuwa pini yake ya kwanza *I'M SORRY* aliwashirikisha Wasanii wenye hadhi yakimataifa tukizungumzia Romilio kutokea kusini mwa America na Lena kutokea pande za ulaya . Mafaanikio mema...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire