jeudi 14 mars 2013

Confederations Cup : Orodha ya Wachezaji 15 wa Lydia Ludic watakao jielekeza DRC...

Timu ya LLB Academic kutokea Burundi leo hii saa tano usiku , saa za Burundi ndipo watajielekeza Jijini Kinshasa , nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC)  kupambana match ya duru ya awali kwa upande wa mzungu uko wa pili kombe la Shirikisho. Blog yenu imeichukuwa fursa yakukudondoleyeni orodha ya Wachezaji 15 watakao safiri usiku wa leo,match imepangwa kuchezwa Jumaa-mosi,marudiano ni baada ya wiki 2 . Wachezaji wawili maarufu sana kwenye Timu hio na ikiwa ni pamoja na Mshambuliaji ANDASANGO Freddy na Mchezaji wa Ngome ya katikati SAIDI Kayumba aliefunga bao walipokuwa wanapambana na timu ya Polisi ya Rwanda kwenye match ya marudiano hawatokuwa kwenye msafara huo wa leo,hofu na duku duku kwa upande wa Viongozi wa Lydia Ludic Academic kutokana na Wachezaji hao timu zao za kweli ni kutokea Bukavu (DRC),na ndio kwa maana wameona vyema kuwa acha kwakuokopa kufungwa kwa ushindi wachee (Forfait) kwani walijiunga na Timu ya Lydia Ludic Burundi Academic bila vibali kutoka kwenye timu zao halali.

Orodha ya Wachezaji  :
-----------------------------------------

1. NYABENDA Athanase alias Tchimba.
2.  NZOYISABA Epimaque
3. RASHID Leon
4. NASSOR
5. RUGONUMUGABO Stephane
6. HAKIZIMANA Issa alias Vidic
7. CIZA Fataki
8. NDIZEYE Alain Bangama
9. NDUWARUGIRA Christophe alias Lucio
10. NDIKUMANA Yussuf alias Lule (Nahodha)
11. BOLIMA MATEMBE Type
12. Iddy Saidi Djuma alias Ballack
13. GAKUJI Paul
14. BARANSANANIYE  Jackson
15. NDARUSaNZE Claude

N.B: DUHANDAVYI Gael hatokwenda kutokana na jeraha analo uguza la goti.

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire