mercredi 12 juin 2013

ALI KIBA atawasha moto Bujumbura tarehe 30/June/2013 ...

Msanii wa miondoko ya mitindo ya bongo flava asubiriwa kwa hamu nchini Burundi ifikapo tarehe 30/june/2013.

Kwa muujibu wa habari tulizo zipata kutoka kwa wanao andaa bonge la Tamasha hiyo wametuwekea wazi kuwa Msanii anaejidai kuwa mkali wa Bongo flava Ali kiba atatuwa kwenye bonge la tamasha atakalo endesha ifikapo tarehe hio akishindizwa na wachezaji ,wachukuwa picha (CREW nzima). Tulifanya kila tunachokiweza na tukaipata sim yake, msanii huo alidai kuwa itakuwa mara yake ya pili kukanyaga arzi ya Burundi baada ya kuwasili Burundi alipokuja na Queen Darlin...Ifahamike ya kuwa kwenye machache aliotufahamisha ni kuwa anadai kuja kuvuta nyao za Msanii mwenza DIAMOND alie endesha mapema mwezi uliopita sehemu iyo iyo atakayo iendesha ALI KIBA , alisema nikimnuku : Burundi nakuja kuosowa kasoro zilizo jitokeza kwa Msanii mwenza Diamond,natimba na CREW yangu nzima natoa ahadi yakuwasha moto kweli kweli, mimi kwanza njo mkali wa Bongo flava nimeshaimba na Wasanii wenye hadhi zao kama wakina R Kelly, Fally Ipupa,nawengineo wengi,icho nikitu nakacho jivunia...Watu wa Burundi mkae mkao wa kula , mtoto wenu ALI KIBA niko njiani...

N.B: Ki ingilio pesa za Burundi 5000,sehemu pajulkanapo kama COCTAIL BEACH ...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire