mercredi 13 mars 2013

LOLILO yuko huru (Yambitswe izera)...

NIYONZIMA SALUM NASSOR a.k.a Lolilo Mzizi wa jiwe ameachwa huru  . Duru tulizopata toka kituo cha askari polisi tarafani Nyakabiga alipokuwa anafugwa walitujulisha kuwa toka jana jioni saa kumi na moja alikuwa tayari ameachwa baada ya Lolilo kukubali kulipa pole pole vifaa alivyovunja vya Mwanadada Claudine ambae inasemekana kuwa alikuwa mpenzi wake. Kulinganisha uchunguzi uliofanywa na tume iliofatilia kwa karibu iligunulika kweli Msanii huo alitenda kitendo hicho,aliombwa kulipa hasara ya vitu vyote alivyovunja pole pole hadi siku atabieneza... Ripoti tuliokufikishieni kabla ni kuwa LOLILO alikuwa anadai kuwa vifaa vyote alivyovunja yeye ndie alikuwa alimnunulia navyo. Sheria ilifata mkondo wake , pole sana Lolilo...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire